Siasa
IQNA-Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imehitimisha mjadala kuhusu baraza jipya la mawaziri la serikali ya awamu ya 14 kwa kuidhinisha mawaziri 19 waliopendekezwa na Rais Masoud Pezeshkian.
Habari ID: 3479311 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21
Siasa
IQNA-Daktari Masoud Pezeshkian leo alasiri amekula kiapo kama rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mbele ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), na viongozi kutoka nchi zaidi ya 88 waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake.
Habari ID: 3479203 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ameutaja uchaguzi wa Rais wa Awamu ya 14 wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran kuwa ni wa mafanikio ya taifa katika mtihani muhimu. Ameyasema hayo leo mjini Tehran katika sherehe ya amemuidhinisha rasmi Rais wa Awamu ya 14 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian.
Habari ID: 3479196 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/28
Siasa
IQNA-Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo litaingia katika duru ya pili.
Habari ID: 3479031 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29
Uchaguzi wa Rais wa Iran
IQNA-Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura ili kumchagua Rais mpya atakayemrithi Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta Mei 19 mwaka huu.
Habari ID: 3479024 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/28
Siasa
IQNA - Kwa kuzingatia uchaguzi wa 14 wa rais wa Iran, "Tamasha la Kigezo cha Utawala" kufanyika likipata msukumo kutoka kwa kazi tukufu ya hayati shahidi Ebrahim Raisi.
Habari ID: 3478969 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/16
Siasa
IQNA-Makao Makuu ya Uchaguzi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran yametangaza orodha ya mwisho ya viongozi waliodhinishwa kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3478958 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/10
Mashahidi
IQNA - Waziri wa Utamaduni wa Lebanon amesema hayati Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje i Hossein Amir-Abdollahian, ambao walikufa shahidi katika ajali ya hivi majuzi ya helikopta, walisimama na watu wa Palestina kwa misimamo madhubuti.
Habari ID: 3478917 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02
Mtazamo
IQNA - Akimpongeza marehemu Rais wa Iran shahidi Ebrahim Raisi kwa misimamo yake ya kuunga mkono Palestina, mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Lebanon amesema moja ya nyakati muhimu anazokumbuka ni hotuba ya rais kwa watu wa Gaza.
Habari ID: 3478911 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/01
Kufa Shahidi Rais wa Iran na Wenzake
IQNA-Kituo cha Mawasiliano cha Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimechapisha ripoti ya pili ya Kamisheni Kuu ya kuchunguza sababu za ajali ya helikopta ya shahidi Rais Seyed Ebrahim Raisi, na ujumbe ulioandamana nao.
Habari ID: 3478900 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Maombolezo
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Ustadh Karim Mansouri alisoma aya ya 100 ya Surah An-Nisa na vile vile aya za mwisho za Surah Al-Fajr katika kikao cha Khitma ya Qur'ani kwa ajili ya hayati shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na mashahidi wenzake.
Habari ID: 3478889 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/26
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA - Mwanazuoni wa Lebanon anasema kufa shahidi Rais wa Iran hayati Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian ilikuwa hasara kwa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3478888 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/26
Maombolezo
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mahuhudurio makubwa ya wananchi Waislamu wa Iran kwenye mazishi na misafara ya kuwaaga na kuwaenzi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na mashahidi wenzake yameidhihirishia dunia kuwa, Wairani ni waaminifu na wamefungamana na nara za Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3478884 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25
Maombolezo
IQNA-Waislamu nchini Tanzania wameshiriki katika kikao cha kumuomboleza na kumuenzi Shahidi Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyekufa shahidi Jumapili iliyopita katika ajali ya helikopta akiwa na wenzake akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian.
Habari ID: 3478883 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25
Hotuba
IQNA – Kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema rais wa Iran hayati Ebrahim Raisi alikuwa na "imani imara" kuhusu kadhia ya mapambano ya ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3478882 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25
Maombolezo
IQNA - Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei Jumatano jioni alitembelea nyumbani kwa shahidi Rais wa Iran Ebrahim Raisi, ambaye aliuawa shahidi katika ajali ya helikopta mnamo Mei 19.
Habari ID: 3478879 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/24
Maombolezo
IQNA - Hayati rais wa Iran shahidi Ebrahim Raisi amezikwa katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran na hivyo kuashirikia mwisho wa hafla za kuuaga wake na mashahidi wenzake zilizohudhuriwa na mamilioni ya waombolezaji Wairani katika katika miji kadhaa.
Habari ID: 3478878 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/24
Maombolezo
IQNA-Waombolezaji zaidi ya milioni tatu leo wameshiriki katika mazishi ya kumuaga na Rais Ebrahim Raisi wa Iran, aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili iliyopita katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
Habari ID: 3478876 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23
Maombolezo
IQNA-Kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na wenzake katika ajali ya helikopta, Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammad Shia al-Sudani, amefika Tehran na kukutana na Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, na kumpa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali na taifa la Iraq.
Habari ID: 3478875 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika mazungumzo na Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Hamas na ujumbe alioandamana nao kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kutokomezwa utawala wa Kizayuni itatimia.
Habari ID: 3478874 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23